JINI SONIA       

Jini sonia ni movie mpya yenye kufundisha na kuburudisha pia ni filamu iliyojaa miujiza kedekede. pata nakala yako ujionee jini sonia anavyokula ubongo wa binadamu. tazama hiki kipande kidogo uweze kujionea maajabu ya jini sonia

JOKA MTU

je unajua chakula cha joka mtu ni cha aina gani?

Mfahamu joka mtu kwa kununua nakala yako sasa











MBWA MWITU


Je unawafahamu mbwa mwitu? Na unadhani mbwa mwitu akikutana na swala inakuaje? Si nakala ya kukosa  chukua nakala yako ujionee mambo ya mbwa mwitu.






ANKO KIEPE

Shukuru kwa kila linalokufika kwani hakuna aijuae kesho!!!  ANKO KIEPE





0 comments:

Post a Comment