Monday, February 2, 2015

JOKA MTU

je unajua chakula cha joka mtu ni cha aina gani?
Mfahamu joka mtu kwa kununua nakala yako sasa




Tazama kipande cha video ya joka mtu









JINI SONIA       
Jini sonia ni movie mpya yenye kufundisha na kuburudisha pia ni filamu iliyojaa miujiza kedekede. pata nakala yako ujionee jini sonia anavyokula ubongo wa binadamu. tazama hiki kipande kidogo uweze kujionea maajabu ya jini sonia






MBWA MWITU

Je unawafahamu mbwa mwitu? Na unadhani mbwa mwitu akikutana na swala inakuaje? Si nakala ya kukosa  chukua nakala yako ujionee mambo ya mbwa mwitu.






ANKO KIEPE
Shukuru kwa kila linalokufika kwani hakuna aijuae kesho!!!  ANKO KIEPE



NANI SHUJAA PROMO
Ni move ya action yenye kusisimua kuelimisha na kufundisha pia
pata nakala yako halisi kutka b.m.o bongo movies outlet company




0 comments:

Post a Comment