Tuesday, April 5, 2016

Bongo Movies Outlet
B.M.O inakuletea 
MTEMBEA USIKU ni muvi ya aina yake na ni muvi ya kipekee inayoelimisha kufundisha
  COMING SOON NA SI YA KUIKOSA IYO ila kwa muvi zingine mpya na za kusisimua  wasiliana nasi kupitia email yetu Bongomoviesoutlet@gmail.com

Bongo Movies Outlet
Sikuzote tamaa uwa mbaya mwisho wa siku ni kujidhalilisha sasa (B.M.O)
INAKULETEA MUVI YA KUSISIMUA  COMING SOON SI YA KUIKOSA IYO ila kwa muvi zingine mpya na za kusisimua  wasiliana nasi kupitia email yetu Bongomoviesoutlet@gmail.com

B.M.O Inawaletea muvi nzury ya kusisimua  ni JAMII YA ASIRY 
coming soon IZO ZOTE HUPATIKANA B.M.O Bongomovies outlet si ya kukosa kabisa iyo 


sikuzote (.B.M.O) Wako kwa ajili yako kuakikisha unapata muvi nzuri na zenye kusisimua safalii hii imewaletea MAAJABU YA MWAMBA ni filamu nzu nzury inayoelimisha kufundisha kuchekesha pia kwa filamu nyingine nzury wasiliana email yetu Bongomoviesoutlet@gmail.com


nongwa ni muvi ya kusisimua kuelimisha kufundisha na hata kuchekesha 
ili siku iende vizury jitaidi usiikose namaanisha si ya kukosa
na si wengine wanokuletea muvi kali kama izo ao ni (B.M.O) Bongomovies outlet companya

Friday, July 31, 2015

NYUMBA NDOGO
Nyumba ndogo ni muvi ya kusisimua na yenye vichekesho vya hali ya juuu jitaidi upate nakala yako ili uvunje mbavu jitaidi kununua cd original na cyo feki ili kukuza kipato cha wasanii wetu

Wednesday, April 1, 2015



ni move ya action yenye kusisimua kuelimisha na kufundisha pia pata nakala yako halisi kutka b.m.o bongo movies outlet company...